Mambo 14 usiyoyajua kuhusu Raisi John Pombe Magufuli.

1448565268-tanzania-president

Kwa watu wengi Tanzania na hata Afrika kwa ujumla, raisi John Magufuli ni zawadi kwa Watanzania na wa-Afrika kwa ujumla. Watu wengi bado hatufahamu vizuri kuwa JPM ni nani hasa, ifuatayo ni listi ya mambo kadhaa kuhusu JPM.

  • Siku ya kuzaliwa 29 October 1959
  • Amechukua muda mrefu kutangaza baraza la mawaziri kuliko raisi mwingine yoyote wa Tanzania
  • Twitter yake ni https://twitter.com/MagufuliJP
  • Ni Mcha Mungu
  • Alikuwa mbunge tangu 1995
  • Alishawahi kusoma Chuo Kikuu cha Salford nchini Uingereza.
  • Alishinda uchaguzi siku ya birthday yake
  • Alikulia kwenye nyumba ya majani
  • Pia anajulikana kama Tinga Tinga au “the Bulldozer”
  • Alikuwa mwalimu wa Kemia
  • Tanzania’s minister of works since 2010
  • miaka 56
  • Raisi pekee wa Africa ambaye ni star kwenye social media na hashtag ya #whatwouldmagufulido
  • Alipata 58% ya kura zote zilizopigwa