Barcelona, Sanfrecce Hiroshima Kucheza Fainali Kombe la Dunia la Vilabu

Luis Suarez Akishangilia Moja ya Bao alilofunga jana katika mchezo wa Nusu fainali dhidi ya Guangzhou Evergrande

Luis Suarez Akishangilia Moja ya Bao alilofunga jana katika mchezo wa Nusu fainali dhidi ya Guangzhou Evergrande


Klabu ya Barcelona watachuana na River Plate katika mchezo wa fainali itayofanyika kesho kutwa desemba 20 katika uwanja wa Yokohama nchini japan .

Mshambuliaji Luis Suarez ndiye aliyeipeleka timu yake ya Barcelona fainali, katika hatua ya fainali ya kombe la dunia la vilabu baadya ya kuifunga Guangzhou Evergrande mabao 3-0 .
2745851_full-lnd
Suarez alianza kuandika bao la kwanza katika dakika ya 39 kisha akaongeza la pili dakika ya 50 na kuhitisha kazi kwa bao la tatu kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 67.

Timu ya River Plate, ilikua timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la dunia la vilabu,Baada ya kuibuka kidedea mbele ya wenyeji wa michuano hiyo timu ya Sanfrecce Hiroshima kwa bao 1-0 lilofungwa na Lucas Alario.