Chris Brown Agoma Kufanya Kolabo na Keyshia Cole

2015 BET Awards - Press Room
Keyshia Cole amezidi kuweka wazi kuhusu maisha yake binafsi kutokana na uhusiano wake kuyumba huku mama yake mzazi na dada wakimlalamikia baada ya kupeana talaka na mumewake Daniel Gibson.

Keyshia amejitahidi katika miaka ya hivi karibuni kufata kazi yake kwa ufasaha na kujiweka vizur zaidi katika game

katika Twitter yake kazungumza na mashabiki wake, akisema baadhi ya mambo ambayo lazima ayafanye huku wengi wakizani kuwa pengine anapata agizo kwa wanaomzunguka.
reg_600.ChrisBrown.mh.121812
Shabiki alimtwiti akiuliza,”Je, kutakuwa na majukumu yoyote katika albamu yako ijayo kiasi cha kuwa bize? Kama ni hivyo, baada ya hapo ungependa kuimba na….? ”

Keyshia alijibu, ” ingekuwa safi tukiimba na Chris Brown ingekuwa safi sana lakini yeye anaendelea kusema hapana. Kama mara 4 sasa

Aliendelea kusema kwamba yeye hayupo tayari kuondoka kuimba R & B; Huwezi kumlazimisha mtu kufanya kitu ambacho hajisikii