Mwanahabari Dotto Mnzava Aagwa Dar, Asafirishwa kwa Mazishi

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu mwanahabari Dotto Mnzava kuutoa ndani ya Kanisa la SDA-Manzese mara baada ya ibada na watu kutoa heshima za mwisho Dar kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilayani Same, Kilimanjaro kwa mazishi. Marehemu marehemu Dotto Mnzava ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandamizi wa Jamii Media alifariki juzi kwa ajali ya pikipiki akiwa kazini.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mwanahabari Mnzava katika Kanisa la SDA-Manzese kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilayani Same, Kilimanjaro kwa mazishi. Marehemu marehemu Dotto Mnzava ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandamizi wa Jamii Media alifariki juzi kwa ajali ya pikipiki akiwa kazini.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Jamii Media, Maxence Melo akitoa salamu za shukrani kwa ndugu jamaa na marafiki waliofika katika ibada ya kumuombea marehemu Mnzava katika Kanisa la SDA-Manzese kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilayani Same, Kilimanjaro kwa mazishi. Mwanahabari huyo alifariki juzi kwa ajali ya pikipiki akiwa kazini.

Baadhi ya ndugu jamaa wa marehemu mwanahabari Dotto Mnzava wakiwa katika ibada ya kumuombea marehemu katika Kanisa la SDA-Manzese, jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya ndugu jamaa wa marehemu mwanahabari Dotto Mnzava wakiwa katika ibada ya kumuombea marehemu katika Kanisa la SDA-Manzese, jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mwanahabari Mnzava katika Kanisa la SDA-Manzese kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilayani Same, Kilimanjaro kwa mazishi. Marehemu marehemu Dotto Mnzava ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandamizi wa Jamii Media alifariki juzi kwa ajali ya pikipiki akiwa kazini.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mwanahabari Mnzava katika Kanisa la SDA-Manzese kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilayani Same, Kilimanjaro kwa mazishi. Marehemu marehemu Dotto Mnzava ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandamizi wa Jamii Media alifariki juzi kwa ajali ya pikipiki akiwa kazini.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mwanahabari Mnzava katika Kanisa la SDA-Manzese kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilayani Same, Kilimanjaro kwa mazishi. Marehemu marehemu Dotto Mnzava ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandamizi wa Jamii Media alifariki juzi kwa ajali ya pikipiki akiwa kazini.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mwanahabari Mnzava katika Kanisa la SDA-Manzese kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilayani Same, Kilimanjaro kwa mazishi. Marehemu marehemu Dotto Mnzava ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandamizi wa Jamii Media alifariki juzi kwa ajali ya pikipiki akiwa kazini.

Mwili wa marehemu mwanahabari Dotto Mnzava ukiingizwa kwenye gari kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilayani Same, Kilimanjaro kwa mazishi.