Nape Nnauye Azungumzia Vyombo vya Habari Kuwalipa Wasanii

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiongea na wadau mbalimbali kutoka BASATA, COSOTA, BODI YA FILAMU, CMEA NA WASANII leo hii jijini Dar es Salaam juu ya kuendelea kusimamia haki ya wasanii na kuhakikisha kila msanii anapata anachostahili kupitia Sanaa yake na kwamba serikali imeweka nguvu kubwa katika eneo hilo.

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fisoo (kushoto) akiwa pamoja na Ofisa Mtendaji wa COSOTA, Bi. Doreen Sinare (katikati) na Paul Matthysse ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa CMEA wakati wa mkutano na waandishi wa habari juu ya vyombo vya habari kuanza kulipia mirahaba kwa wasanii wa muziki kuanzia mwakani.