ACT-Wazalendo Yaingilia Mgogoro wa Burudi, Yakerwa na Mauaji

ACT-Wazalendo

ACT-Wazalendo


CHAMA cha ACT-Wazalendo kinasikitishwa sana na mauaji yanayoendelea nchini Burundi na hasa Mji Mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Hali hii ya mauaji imesababishwa kwa kiasi kikubwa na uamuzi wa Rais wa sasa wa nchi hiyo Ndugu Piere Nkurunzinza kuendelea kugombea na hatimaye kuchaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo katika mazingira yanayodaiwa kuvunja demokrasia na utawala bora. Tangu machafuko hayo ya nchini Burundi yaanze zaidi ya watu 100 wamesha uawa kufikia wiki hii na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Aidha, wimbi la wakimbizikutoka Burundi linarudi kwa kasi na wengi wao wakikimbilia nchini Tanzania.
Bahati mbaya sana mpaka sasa Jumuiya ya Kimataifa na hasa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Burundi ni mwanachama, haikuchukua hatua za maana za kuzuia kuchafuka kwa utawala wa kidemokrasia na utawala wa sheria nchini Burundi, na wala haichukui hatua stahiki kuzuia mauaji yanayoendelea.
Hii ni kinyume kabisa na Mkataba unaounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao unatoakipaumbele cha juu kulinda uhai na haki za raia katika Jumuiya hizo
Kutokana na hali ya kisiasa na usalama nchini Burundi, na kwa kuzingatia nafasi ya kihistoria ya Tanzania katika kutafuta na kufanikisha Mkataba wa Amani nchini Burundi, na kwa kuzingatia nafasi yake katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika, sis ACT-Wazalendo tunaitaka serikali ya Tanzania, kwa hali kubwa ya dharura, ichukue hatua zifuatazo:
1. Iitake serikali ya Jamhuri ya Burundi kukomesha mara moja mauaji yanayoendelea nchini humo na kuwahakikishia raia wa nchi hiyo usalama
2.Tanzania Iitake serikali ya Jamhuri ya Burundi kuitisha mkutano wa wadau wote wa siasa na utawala nchini humo ili kujadili mustakabali wa nchi hiyo kisiasa na kijamii, ikiwemouwezekanowakuundaserikaliyaUmojawaKitaifaitakayosimamiaKatibaya Burundi kuelekeauchaguziwakidemokrasia
3.TanzaniaItumienafasiyakekatikaJumuiyayaAfrikaMasharikikuitakaJumuiyahiyokuzuiamachafukonchini Burundi nakuhakikishakwambautawalawademokrasianautawalawasheriaunazingatiwanchinihumo

4.Chama cha ACT-WazalendokinasisitizakuwaJumuiyayaAfrikaMasharikiitakosauhaliwakuendeleakuwepokwakekamaitaendeleakuwaJumuiyayaviongoziwanchizinazoundaJumuiyahiyohukuikishindwakusimamiahakizakuishinahakizakiraiazawananchiwaAfrikaMashariki.

Imetolewa leo jumatano 16 Disemba 2015
Na Venance Msebo
KatibuwaKamatiya Mambo ya Nje
ACT-Wazalendo