The Game Atoa Somo Kwa Wanawake Weusi.

the_game_rapper_7
Siku ya jana, mwanamuziki The Game ameandika katika mtandao wake wa Instagram akiwaelimisha wanawake weusi jinsi ya kuishi na kujithamini kama mwanamke.

Mwanamuziki huyo alisema kuwa mwanamke mweusi anafasi kubwa ya kuonekana malkia kuliko mwanamke yeyote Duniani endapo atajithamini na kujitunza.

Katika ukurasa wake wa Instagram, The Game alieleza kuwa mwanamke akitumia vizuri uso wake, ngozi yake, Mdomo na rangi yake nyeusi basi atajiona mtu aliyependelewa zaidi kuliko mwingine.
the_game_1_1024
Alieleza kuwa wanawake wapo wanaofanya kazi ya Walimu, madaktari, na wanasheria lakini kipindi hiki cha mwisho wa mwaka wengi wanakua mapumziko, hivyo ni nafsi yao ya kuonesha ubora wao.

“Hebu fikiria jinsi Mwenyewe kujua waandishi wengi wa kiume na faida zao kwa ujasiri kuwaambia wanawake ukweli kwa nini wao si katika mahusiano tu, na hata katika maisha wengi hawajiamini”.

“Kwa hiyo, huwezi kuwaambia jinsi ya kuipata, jinsi ya kuitunza, au hata jinsi ya kurekebisha thamani hiyo”.