Wafanyakazi NMB Waifanyia Usafi Hospitali ya Sinza, Parestina

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (tatu kushoto) ambaye ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya NMB, akimkabidhi Mganga Msaidizi Hospitali Sinza Parestina, Dk. Faith Mdee (wa tatu kulia) baadhi ya vifaa vya usafi ili vibaki vikitumika kusaidia zoezi la usafi katika hospitali hiyo. 

AKIZUNGUMZA mara baada ya zoezi la usafi mmoja wa wafanyakazi hao, Waziri Barnabas ambaye ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya NMB alisema wafanyakazi wa NMB wanaotoka maeneo ya Sinza na mengine ya jirani wameamua kuchangishana na kununua vifaa mbalimbali vya usafi na kuungana pamoja na familia zao na wafanyakazi wa hospitali hiyo kisha kufanya usafi ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli kumuunga mkono ili kufanya usafi kwa lengo la kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wanaoishi Sinza na maeneo jirani wakijipanga kuanza kufanya usafi katiki Hospitali ya Sinza, Parestina ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishirikiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Sinza Parestina wakifanya usafi maeneo anuai ya hospitali hiyo ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifanya usafi katika Hospitali ya Sinza Parestina wakifanya ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwa na wafanyakazi wa Hospitali ya Sinza Parestina katika picha ya pamoja ikiwa ni kumbukumbu mara baada ya kufanya usafi maeneo anuai ya hospitali hiyo ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.