Mashindano ya Baiskeli ya Rift Valley Odyssey Yafanyika

Mshindi wa kwanza wa mashindano ya kuendesha baiskeli  ya  Rift Valley Odyssey  Sophia Husseni ya liyofanyika  jijini Arusha  DEC  Jijini Arusha.

Mshindi wa kwanza wa mashindano ya kuendesha baiskeli  ya  Rift Valley Odyssey  Sophia Husseni ya liyofanyika  jijini Arusha  DEC  Jijini Arusha.

Washindi wa kwanza wa mashindano.ya baiskeli, ya  Rift Valley Odyssey  ya liyofanyika  jijini arusha  DEC 6 Mwaka huu Sophia Husseni wa kwanza (kulia) na Sophia Adson wa (pili) kutoka kulia wakiwa na Mkurugenzi wa 6degrees Simone Paine wa pili kutoka kulia yaliyo fanyika Arusha ambapo wachezaji toka ndani nan je ya nchi wameshirikai kwa takriban siku mbili kuendesha kwa umbali wa kilomita 115. Masindano ambayo yanawapa ushindi timu ya Warriors ambao wametumia masaa matano na dakika 28.
 
Washiriki wa mashindano ya baiskeliya  Rift Valley Odyssey  yaliyofanyika jijini Arusha ambapo wachezaji toka ndani nan je ya nchi wameshirikai kwa takriban siku mbili kuendesha kwa umbali wa kilomita 115
 Mkurugenzi wa 6degrees Simone Paine akizungumza na washiriki wa shindano hilo.
Mshindi wakwanza wa mashindano ya kuendesha baiskeli  ya   Rift Valley Odyssey  Sophia Husseni