Man City Kujenga Heshima Uingereza.


Meneja wa Klabu ya Man chester City Manuel Pellegrini amesema licha ya kuwa hawajawahi kushinda mataji makuu zaidi ya mbili katika msimu mmoja lakini msimu huu watahakikisha wanafanya hivyo.

Kipa wa Manchester City kipa Joe Hart naye ameongeza kuwa katika ligi ya mabingwa watafika zaidi ya robo fainali.

Pellegrini amesema kukaa nafasi ya tatu nyuma ya Arsenal yenye alama 30 na Leicester City inayoongoza ligi kuu ya Uingereza ikiwa na Pointi 32 huku City baada ya mwishoni mwa wiki kupigwa na Stoke City mabao 20-0 na kuendelea kubaki na Pointi 29, ana uhakika ya kufanya vizuri zaidi.

Hart aliongeza kuwa Mara baada ya kuingia Nusu fainali ya kombe la Capital One na kwa kuwa bado kwenye mashindano mengine basi lazima lengo lao litatia

“Utakuwa msimu wa mafanikio kama sisi tutashinda mataji yote,” Hart aliiambia Sky Sports.

“Hatuwezi kusema tunataka kupoteza hata mchezo mmoja, hatukubali kwenda kupoteza mchezo kwa wakati huu. Tuna kwenda nje na kushinda ili mwisho tuona nini kinatokeā€