Mahakama Yamaliza Mzozo wa Mazishi ya Mawazo, Jaji Afuta Agizo la Polisi

JAJI aliyekuwa akisikiliza mgogoro wa mazishi ya aliyekuwa Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Geita  marehemu Mawazo, ambapo Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza lilizuia shughuli za mazishi kufanyika uwanjani, ametoa uamuzi baada ya kutupilia mbali uamuzi wa Jeshi hilo na kutaka sasa marehemu kuzikwa kwa ushirikiano na Chadema, familia ya marehemu na Polisi.