Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) ,Dr.Suma Kaare akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Mkurugenzi wa Shirika la Haki kazi Catalyst Alais Moridant akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Mkurugenzi wa Shirika la AWF ,John Salehe akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Viongozi mbalimbali wa jumuiko la maliasili wakiwa katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja, ,mkutano huo ulihudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Mwakilishi wa Shirika la WWF ,Sware Semesi akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Wasemaji Wakuu wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
wanyama pamoja na mimea hivyo kuathiri uhifadhi kwa ujumla. Salehe alisema kuwa juhudi zaidi zinapaswa kuchukuliwa ikiwemo upandaji wa miti pamoja na kutunza misitu ili kurejesha uoto wa asili uliopotea.