Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, akimwapisha George Masaju, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo asubuhi Okt. 6, 2015. Picha na OMR

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki na watumishi wa Serikali waliohudhuria hafla hiyo ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Picha na OMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, akisalimina na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan, wakati aliwapowasili kwenye Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam, leo asubuhi Oktoba. 6, 2015 kwa ajili ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, aliyemteua jana Oktoba 5, 2015 mara tu baada ya kuapishwa rasmi. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande. Picha na OMR
Rais Dk Magufuli akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Wizara ya Fedha ambapo amezitembelea ghafla ikiwa ni siku yake ya kwanza kuanza kazi Ikulu.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni msemaji wa Serikali ya Tanzania akionesha picha maalum ya Rais Dk. John Magufuli itakayoanza kutumika katika ofisi mbalimbali.