TTCL Yakutana na Wateja Wake Dar, Wiki ya Huduma…!

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akigonganisha glasi ya mvinyo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Banki ya Posta Tanzania (TPB) kwenye hafla iliyokutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza katika hafla fupi iliyowakutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu na kupata maoni ya wateja wao jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel. Tukio hili ni mwendelezo wa Wiki ya Huduma kwa wateja wa Kampuni ya simu ya TTCL iliyozinduliwa hivi karibuni.

Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akizungumza jambo na mmoja wa wateja wa TTCL kwenye hafla hiyo iliyokutanisha baadhi ya wateja na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS, Eng. Patrick Mfugale katika hafla ya baadhi ya wateja wa TTCL kubadilishana uzoefu na kupata maoni ya wateja wao jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.

Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja TTCL, Laibu Leonard akizungumza kwenye hafla hiyo ya baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Thomas Mushi akizungumza kwenye hafla hiyo ya baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akigonganisha glasi ya mvinyo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu na kupata maoni ya wateja wao jana jijini Dar es Salaam.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akizungumza jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Banki ya Posta Tanzania (TPB) kwenye hafla hiyo ya TTCL.

Mvinyo kwa ajili ya wageni ukiandaliwa..!

Mvinyo kwa ajili ya wageni ukiandaliwa..!

Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akizungumza jambo na mmoja wa wateja wa TTCL kwenye hafla hiyo iliyokutanisha baadhi ya wateja na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.

Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akizungumza jambo na mmoja wa wateja wa TTCL kwenye hafla hiyo iliyokutanisha baadhi ya wateja na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.

Baadhi ya wateja na maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakizungumza kubadilishana mawazo kwenye hafla iliyowakutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.