Vijana wa Mikoa Mbalimbali Washiriki Mdahalo Dodoma

Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana sehemu ya Uratibu, Bibi. Esther Riwa akiwasilisha mada ya ujasiriamali wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.

Baadhi ya vijana wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika jana mjini Dodoma ikiwa ni programu katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.

Mwakilishi kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Restless Development Bw. Innocent Mallya akichangia mada wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa

Meneja Mafunzo kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la TECC Bi. Anna Manoti akiwasilisha mada wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.

Mwakilishi kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Tanzania (EAC Youth TZ) Bi. Mary Daniel akichangia mada wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.