Kila Jambo Jema Hutoka kwa Mungu

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli  akiombewa na Watawa wa kijiji cha Lwasho,mara baada ya kumaliza mkutano wa kampeni katika kijiji cha Lwasho,wilaya ya Momba.

Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli  akiombewa na Watawa wa kijiji cha
Lwasho,mara baada ya kumaliza mkutano wa kampeni katika kijiji cha
Lwasho,wilaya ya Momba.

 Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma
waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma,mkoa wa
Mbeya mapema leo mchana,kwenye mkutano wa kampeni wa kuwaomba Watanzania
ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,ambapo uchaguzi
unatarajiwa kufanyika Oktoba 25  mwaka huu.

Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli  akizungumza jambo na mlemavu wa miguu
ndugu Joseph,mkazi wa kijiji cha Lwasho wilaya ya Momba,ambapo
alimuahidi kumletea baiskeli ya kutembelea.

 Maelfu
ya Wananchi wa Tunduma waliojitokeza  kumsikiliza Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt
John Pombe Magufuli,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
uwanja wa shule ya msingin Tunduma mkoani Mbeya.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli  akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa
Mbeya,Mh.Abbas Kandolo alipokuwa akiwasili katika kijiji cha Nzoka
Wilaya ya Momba mkoani humo,pichani kati ni Mgombea Ubunge wa jimbo la
Mbozi Mh Godfrey Zambi.

Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli  akisalimiana na Mgombea Ubunge wa jimbo
la Ileje Mh.Janet Mbene,mara baada ya kuwasili wilayani humo kuhutubia
mkutano wa kampeni.

Wananchi
wakiwa wamefurika katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma mapema leo
mchama kumsikiliza mgombea urais wa CCM akimwaga sera zake kuwaomba
Watanzania wamchague na kumpa ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha
awamu ya tano.

Wananchi wa wilaya ya Ileje wakiwa wamekusanyika katika uwanja wa Ileje mjini wakimshangilia Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli  alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa
kampeni wilayani humo.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akipokelewa kwa shangwe na
wananchi alipokuwa akiwasili katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma
mapema leo mchana kwa ajili ya mkutano wa kampeni.

  Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma
waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma,mkoa wa
Mbeya mapema leo mchana,kwenye mkutano wa kampeni wa kuwaomba Watanzania
ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,ambapo uchaguzi
unatarajiwa kufanyika Oktoba 25  mwaka huu.

  Maelfu
ya Wananchi wa Tunduma waliojitokeza  kumsikiliza Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt
John Pombe Magufuli,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
uwanja wa shule ya msingi Tunduma mkoani Mbeya.

 Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli ,akiwapigia debe madiwani wa CCM kwa
wananchi (hawapo pichani),katika kijiji cha Nzoka wilayani Momba,mkoani
Mbeya kwenye mkutano wa kampeni.

Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi na wafuasi wa
chama cha CCM katika kijiji cha Nzoka wilaya ya Momba mara baada ya
kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni.

Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea udiwani wa CCM kwa
wananchi wa kijiji cha Lwasho,wilaya ya Momba katika mkutano wa kampeni.

Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli  akisalimiana na Mbunge wa viti maalum wa
CCM,Dkt Marry Mwanjelwa

Palikuwa
hapatoshi katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma mapema leo mchana
wakati mgombea Urais wa CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipowasili katika
viwanja hivyo na kuwahutubia wananchi.

Bango la wagombea

Baadhi ya Wananchi wa Ileje wakiwa na mabango yao.