Kamanda Mpinga Atembelea Kambi ya Timu ya Kamati ya Amani Dar

wakati wa mazoezi ya timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na michezo kadhaa ya kirafiki kwa ajili ya kuimarisha amani na mshikamano kwa watanzania.

wakati wa mazoezi ya timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa
dini yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi
kwa ajili ya kujiandaa na michezo kadhaa ya kirafiki kwa ajili ya kuimarisha
amani na mshikamano kwa watanzania.

Kamanda Mpinga,
akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja wa
Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi
 Mchungaji wa Kanisa la
Penuel Healing Ministry Ubungo Kibangu, Mch. Alphonce Temba (kulia) akimramba
chenga Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mashariki ya Pwania, George Fupe, wakati wa
mazoezi yao yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo
asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na michezo kadhaa ya kirafiki kwa ajili ya
kuimarisha amani na mshikamano kwa watanzania.
 Ustaadh Saleh  (katikati) akimiliki mpira katikati ya mabeki
wa timu pinzani, wakati wa mazoezi ya timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa
dini yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi
kwa ajili ya kujiandaa na michezo kadhaa ya kirafiki kwa ajili ya kuimarisha
amani na mshikamano kwa watanzania.
 Kamanda Mpinga, akishiriki
dua ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini,
baada ya mazoezi yao timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar
es Salaam, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki na timu ya Kamati ya
Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajia kuchezwa mwezi ujao jijini Arusha na ule wa
kirafiki kati yao na timu ya Mabalozi hivi karibuni. Kamanda Mpinga alifika
kuwatembelea wachezaji hao kujionea maendeleo ya mazoezi yao.
 Kamanda Mpiga akiwa katika
picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini ya
Mkoa wa Dar es Salaam,baada ya mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika leo asubuhi
kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Kamanda Mpinga alifika
kuwatembelea wachezaji hao kujionea maendeleo ya mazoezi yao.
 Kamanda Mpinga,
akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja wa
Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.

 Hapa ni mapande tu kama Yaya Toure…..
Mchungaji Simon (kulia) akimfinya Ustaadh Saleh. Picha zote na www.sufianimafoto.com