Stars Yawasili Uturuki

starsstars
Tmu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro tayari imewasili salama nchini Uturuki katika mji wa Kartepe – Kocael leo mchana, tayari kwa kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika mwaka 2017. Fuata linki chini kwa taarifa zaidi
http://tff.or.tz/news/124-stars-yawasili-uturuki

TFF KUMPELEKA MAADILI MWENYEKITI WA UCHAGUZI DRFA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatarajia kumpeleka katika kamati ya maadili ya TFF Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya DRFA Ndg. Rashid Saadallah siku ya Alhamisi tarehe 27/08/2015 saa 9:00 alasili kwa kosa la kudharahu na kupingana na maagizo ya mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya TFF. Fuata linki chini kwa taarifa zaidi

http://tff.or.tz/news/123-tff-kumpeleka-maadili-mwenyekiti-wa-uchaguzi-drfa

U-15 YAINGIA KAMBINI
Kikosi cha timu ya Taifa cha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) kimeingia kambini katika hosteli za TFF zilizopo Karume kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya kombaini ya Morogoro (U-15) mwishoni mwa wiki hii. Fuata linki chini kwa taarifa zaidi