Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya TFDA Dar es Salaam leo, wakati akitoa tahadhari ya uwepo katika soko wa vipodozi vyenye viambato vilivyopigwa marufuku na Serikali. Kulia ni Mkurugenzi wa Dawa na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
1.
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) ni Wakala wa Serikali ulio chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wenye jukumu la kudhibiti ubora, usalama na ufanisi wa bidhaa aina ya chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba.

2.
TFDA inautaarifu umma kuwa kupitia mfumo wake wa ufuatiliaji ubora na usalama wa
bidhaa kwenye soko, imebaini uwepo wa vipodozi vyenye viambato vilivyopigwa
marufuku aina ya “steroids” zinazojulikana kitaalam kama “clobetasol propionate”, “hydrocortisone” na “triamcinolone”.

3.
Jumla ya Vipodozi aina tofauti 36 vya jamii ya krimu (creams) na losheni (lotion) vimebainika kuwa na viambato hivyo vilivyopigwa marufuku baada ya kufanya uchunguzi wa kina wa matoleo 57 yaliyochukuliwa kwenye soko na viwanda vilivyotengeneza.

4.
Vipodozi hivyo vimetengenezwa na makampuni manne (4) yaliyoko hapa nchini na kiwanda kimoja (1) kilichoko nje ya nchi kama ifuatavyo:-

Na.
|
Jina la kiwanda
|
Idadi ya vipodozi
|
Idadi ya matoleo
|
1.
|
Chemi
& Cotex Industries Limited – Dar es Salaam |
6
|
7
|
2.
|
Mamujee Products Limited – Tanga
|
11
|
20
|
3.
|
Tanga Pharmaceutical & Plastics Limited – Tanga
|
15
|
24
|
4.
|
Tridea
Cosmetics Limited – Dar es Salaam |
3
|
5
|
5.
|
Johnson & Johnson (Pvt) Ltd, Rattray Road, East London,
South Africa |
1
|
1
|
Jumla
|
36
|
57
|
5.
Steroids aina ya “clobetasol propionate”, ‘hydrocortisone’’ na “triamcinolone” hutumika kama dawa kutibu magonjwa mbalimbali ya ngozi yajulikanayo kitaalam kama eczema, herpes labialis, psoriasis, contact dermatitis, alopecia areata, vitiligo, lichen sclerosus, lichen planus na mycosis fungoides. Steroids hizi hazitakiwi kutumika zaidi ya wiki mbili na lazima mgonjwa apate ushauri wa daktari kabla ya kutumia dawa hizi.

6.
Baadhi ya madhara yanayotokana na kutumia dawa hizi ni pamoja na muwasho na kuvimba kwa ngozi (allergic contact dermatitis), ngozi kuwaka moto (burning sensation), ngozi kukatikakatika (skin cracking), ngozi kubabuka (fissuring) ngozi kukosa
chembembe aina ya melanin inayoleta kinga na hivyo kuifanya ngozi kuwa nyeupe isivyo kawaida (hypopigmentation), madhara kwenye mifupa (osteoporosis), kizunguzungu (dizziness), ngozi kukauka (skin dryness), shinikizo la damu kwenye macho (glaucoma), vinyweleo vya ngozi kupata athari (folliculitis), kuwashwa mara kwa mara (excessive itching, pruritus, erythema and irritations), vidole kufa ganzi (numbness of fingers), ngozi kusinyaa (skin atrophy) na ngozi kubanduka (skin peeling/maceration).
Madhara mengine ni pamoja na ngozi kuwa nyekundu (skin redness), kusikia kichefuchefu (nausea), kichwa kuuma (headache), kushindwa kupata usingizi (insomnia),
kutoka jasho jingi (sweating), kupata chunusi kubwa kwenye ngozi (acne), kuchoka (fatigue), kuongezeka uzito (weight gain), mapigo ya moyo kutoenda sawa (uneven heartbeats) na kuona maluweluwe (blurred vision).

7.
Kufuatia hali iliyojitokeza na kwa kuzingatia madhara yanayoweza kusababishwa na
matumizi ya steroids kwa muda mrefu, TFDA imechukua hatua zifuatazo:

a. Kuzuia kwa muda wa miezi sita (6) utengenezaji wa vipodozi aina ya krimu, losheni na jeli kwenye viwanda vinne (4) vilivyohusika.
b. Kuwaelekeza wenye viwanda vilivyohusika kuviondoa vipodozi vilivyokutwa na steroids kwenye soko na kuviteketeza kwa gharama zao wenyewe.
c. Kufuta usajili wa vipodozi 31 vilivyokuwa vimesajiliwa.
d. Kuwaelekeza Mameneja wa Ofisi za Kanda za TFDA kufanya ukaguzi katika maeneo yao kwa kushirikiana na Ofisi za Halmashauri ili kuondoa katika soko vipodozi vyote vilivyohusika.
8.
Pamoja na hatua hizo, TFDA inatoa maelekezo yafuatayo:-

a. Wananchi wote wasitumie vipodozi husika kwa kuwa vina madhara ya kiafya. Wananchi wanaaswa kuangalia lebo za vipodozi walivyonavyo majumbani na wakiona vina majina yaliyoainishwa waache kutumia vipodozi hivyo mara moja.
b. Wasambazaji na wauzaji wote kurudisha vipodozi vilivyohusika kwa watengenezaji au kwa waliowauzia ili hatua za uteketezaji ziendelee.
9.
TFDA inaendelea kufuatilia vipodozi vingine vyote ili kujiridhisha na ubora na usalama wake kwa watumiaji. Vile vile itaendelea na kazi yake iliyopewa ya kulinda na kudumisha afya ya jamii kwa kuhakikisha bidhaa aina ya chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba zinazotengenezwa hapa nchini au kuingizwa kutoka nje ya nchi ni bora, salama na zenye ufanisi unaotakiwa.

10.
TFDA itawachukulia hatua kali za kisheria wale wote wanaojihusisha na uvunjaji wa Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura 219 na inawaomba wananchi wote kuendelea kutoa taarifa pale wanapobaini uwepo wa bidhaa (chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba) duni au bandia kwenye soko la Tanzania.

ORODHA YA VIPODOZI VILIVYOBAINIKA KUWA NA VIAMBATO VILIVYO PIGWA MARUFUKU
Na.
|
Jina la kipodozi
|
Namba ya usajili
|
Toleo
|
Tarehe ya kuishamatumizi
|
Sehemusampuliilipochukuliwa
|
Aina ya kiambatokilichokutwa
|
Chemi&Cotex Industries Limited, Dar es Salaam
|
||||||
1.
|
Lovely Body Cream – Lemon
|
TAN15 CP 0095
|
12&16
|
Feb-18
|
Kwenye soko&Kiwandani
|
ClobetasolProprionate
|
2.
|
Baby Soft Body Lotion
|
Haijasajiliwa
|
08
|
Dec-16
|
Kwenye soko
|
ClobetasolProprionate
|
3.
|
Siri Moisturizing Cream- Cocoa Butter
|
TAN13 CP 3118
|
26
|
Jan-18
|
Kiwandani
|
ClobetasolProprionate
|
4.
|
Siri Moisturizing Cream- Lemon
|
TAN13
CP 3120 |
03
|
May- 18
|
Kiwandani
|
ClobetasolProprionate
|
5.
|
Lovely Body Cream – Lemon
|
TAN15
CP 0094 |
16
|
Mar-18
|
Kiwandani
|
ClobetasolProprionate
|
6.
|
Lovely Body Cream – Papaya
|
TAN15
CP0096 |
10
|
May-18
|
Kiwandani
|
Hydrocortisone
|
Mamujee Products Limited, Tanga
|
||||||
7.
|
Beauty Care Aloe Vera Beauty Cream
|
Haijasajiliwa
|
00283
|
Sep-15
|
Kwenye soko&Kiwandani
|
ClobetasolProprionate
|
8.
|
BOSS Hand & Body Lotion
|
TAN 15 CP 0300
|
10/0077258
|