Mapokezi ya David Jairo ofisini kwake katika

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Bw. David Jairo akitafakari jambo mara baada ya kurejea ofisini kwake ili kuendelea na majukumu yake.

Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja akiwa amemkumbatia kwa furaha kama moja ya mapokezi Katibu Mkuu wa Wizara hiyo David Jairo mara baada ya kuripoti katika ofisi za Wizara hiyo.