Tamasha La Kiafrika Ujerumani Lafungwa Kwa Mavazi Ya Kiafrika!

Hayo ni mavazi ya bibi na bwana kutoka Afrika.

Hayo ni mavazi ya bibi na bwana kutoka Afrika.

Binti mrembo kutoka Afrika magharibi akipita na kivazi chake...

Binti mrembo kutoka Afrika magharibi akipita na kivazi chake…

Na huyu mrembo nae alikuwepo kuonyesha vazi lake.

Na huyu mrembo nae alikuwepo kuonyesha vazi lake.

...mwingine katika pozi la nguvu!

…mwingine katika pozi la nguvu!

Huyu ni mmoja wa wale wazungu, ambao huwaelezi kitu kuhusu Afrika, yaani huyu ni Afrika dam dam!! Nae alikuwepo kwenye fasheni shoo...

Huyu ni mmoja wa wale wazungu, ambao huwaelezi kitu kuhusu Afrika, yaani huyu ni Afrika dam dam!! Nae alikuwepo kwenye fasheni shoo…

"Bibi na Bwana" walirudi kivingine tena....

“Bibi na Bwana” walirudi kivingine tena….

Fest25a

...na hapo?

…na hapo?

...mapozi yaliendelea...

…mapozi yaliendelea…

...bado hayajaisha...tulia!

…bado hayajaisha…tulia!

Watu walikuwa wakumwaga!

Watu walikuwa wakumwaga!

 

Picha na Habari, na dev.kisakuzi.com, Tuebingen, Ujerumani