Mbunge Nassari Ajitolea Saruji na Ndondo Ujenzi Daraja la Kwa Pole

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole.

Wananchi katika Jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kinamama hasa wauzaji wa Ndizi.
Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji, vipande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya choo cha soko la ndizi .
Nassari akikabidhi Nondo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Kwa Pole.
Nassari akitizama ujenzi unavyoendelea.
Mbunge Nassari akizungumza na wafanyabiashara katika soko la Kwa Pole mara baada ya kutembelea eneo la Ujenzi wa daraja unavyoendelea. katika shughuli za Ujenzi wa daraja hilo wananchi wamejitolea kufanya kazi hiyo bila malipo na kwamba anayelipwa ni mhandisi pekee. Kazi hiyo inataraji kumalizika ndani ya siku 14.