Michezo Bonaza la Masauni CUP Yaendelea Usiku Mjini Zanzibar

Mgeni raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani  iliyokubali kipigo cha mabao 2--0. wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.

Mgeni raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani iliyokubali kipigo cha mabao 2–0. wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.

Mgeni raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2-0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja.

Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja
Kikosi cha timu ya Mkunazini kinachotowa dozo katika michuano ya Bonaza Kombe la Masauni ambocho kimetowa dozi kwa timu ya Kilimani wakati wa mchezo wao wa pili wa Bonaza hilo ikiwa na pointi 4, baada ya kupotoka sare mchezo wao wa fungua dimba na timu ya Miembeni, Timu ya miembeni inaongoza kundi hilo ikiwa na poiti 7
Mchezaji wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wao wa Bonaza, uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja. timu ya Mkunazini imeshinda 2–0.

Mchezaji wa timu ya Mkunazini akizuiya mpira kujiandaa kumpita mchezaji wa timu ya Kilimani.

Mchezaji wa Kilimani akijaribu kumpiga chenga mchezaji wa timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika uwanja wa Malindi Mnazi Mmoja timu ya Mkunazini imeshinda 2–0
Mchezaji wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazi wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja, timu ya Mkunazini imeshinda 2–0.
Wapenzi wa mchezo wa Soka Zenj wakifuatilia Bonaza hilo linalofanyika viwabnja vya malindi mnazi mmoja

 

 

 

Mchezaji wa timu ya Mkunazini akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazi wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja, timu ya Mkunazini imeshinda 2–0.