JK Afunga Mafunzo ya Maafisa Ukonga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Megereza  Amina Juma Lidenge kwa niaba ya wahitimu wenzake 104  wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015

Rais Jakaya Mrisho kikwete akisalimiana na maafisa wanaoshughulikia kitengo cha SACCOS cha Magereza kwenye banda la maonesho ya sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015

Rais Jakaya Mrisho kikwete na  Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja  wakiwa na wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015

Rais Jakaya Mrisho kikwete  na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja  wakiwa na Wakuu wa Jeshi la Magereza wa nchi za SADC na Kenya waliohudhuria  sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015

Rais Kikwete akimkabidhi Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja  ithabati rasmi kwa ajili ya Chuo cha Mafunzo cha Ukonga iliyotolewa na  Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015

Askari Magereza wa enzi za Mkoloni wakionesha ukakamavu wao mbele ya Rais Kikwete  wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015