Freeman Mbowe, Ndesamburo Wanguruma Kilimanjaro…!

Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi.

Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi.
Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi, wengine ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Kilimanjaro, Helga Mchomu.
Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo, wakimsikiliza mstahiki Meya, Jafary Michael (hayuko pichani).
Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary Michael akizungumza katika mkutano huo.
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway.
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimkaribisha Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freman Mbowe kuhutubia wananchi katika viwanja vya Railway mjini Moshi.
Mbowe akiagana na wananchi waliohudhuria mkutano huo .
Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na wananchi waliojirtokeza katika mkutano huo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.