Abbas Mtemvu Afungua Mkutano wa Wenyeviti CCM Dar

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto) akifungua Mkutano wa wenyeviti , wenezi na wachumi wa matawi kilichofanyika kwa Jimi Agent Yombo Buza Dar es Salaam,   kuanzia kulia ni Katibu mwenezi Kata ya Miburani  Ally Kamtande,  Mwenyekiti Kata Kibondemaji Mbagala Mustafa Hakika na Mwenyekiti WA Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Temeke Ahamad Mnamalla

Mbunge wa Jimbo la Temeke akifungua mkutano wa wenye Viti
 
 Sehemu ya wanachama wa Chama hicho
Katibu wa Mbunge Jimbo la Temeke  Abbas Mtemvu  Ally Meala kulia akiteta jambo na Katibu wa Uchumi wa Fedha wa Jimbo la Temeke Hussein Simba wakati wa Mbunge huyo wa temeke alipokuwa akifungua  Mkutano huo