Dk.Bilal Afunga Rasmi Matangazo ya Analojia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Heshima za Digital Tanzania, Bi. Asteria Kamara, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, wakati wa sherehe za Ukomo wa Matangazo ya Televisheni ya Analojia, zilizofanyika leo Juni 17, 2015 kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa. Picha na OMR

6BMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Ngao ya Heshima za Digital Tanzania, Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano Tanzania, TCRA, Prof, John Nkoma, wakati wa sherehe za Ukomo wa Matangazo ya Televisheni ya Analojia, zilizofanyika leo Juni 17, 2015 kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa. (wa pili kulia) ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo , Dkt. Fenella Mukangara. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa sherehe za Ukomo wa matangazo ya Televisheni ya Analojia, zilizofanyika leo Juni 17, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

9