Prof Mwandosya Asaka Wadhamini Kilimanjaro

Prof Mark Mwandosya

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama
akisalimiana na Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Prof,Mark
Mwandosya mara baada ya kufika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa
Kilimanjaro wakati akiwa njiani kutafuta wadhamini.
 
Prof,Mark Mwandosya akisalimiana na Naibu
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi ,Angela Kairuki walipokutana katika
ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro.
Profesa Mwandosya akizungumza katika ukumbi
huo.
Prof Mwandosya akitoka katika ukumbi wa
mikutano wa mkoa wa Kilimanjaromara bada ya
kusalimia.
Prof,Mwandosya akiagana na mkuu wamkoa wa
Kilimanjaro ,Leonidas Gama mara baada ya kusalimia .
Prof,Mark Mwandosya akiondoka ukumbini hapo
kuendelea na safari ya kusaka wadhamini mkoani Arusha.


Na Dixo Busagaga wa Globu ya Jamii
kanda ya Kaskazini.