Ziara ya Rais Jakaya Kikwete The Hague, Uholanzi…!

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi Mhe. Bert Koenders jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa  na Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC Jaji Silvia Alejandra Fernandes de Gurmendi alipotembelea makao makuu ya mahakama hiyo jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kuongea na Mabalozi wa nchi mbalimbali za Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Uholanzi  jijini The Hague  Jumatatu Juni 8, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Uholanzi Mhe Mark Rutte jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015. PICHA NA IKULU.