Kwanini Hakuna Nakala Za Kutosha Za “Katiba Pendekezwa”?

mzee na siasa 2

Kama katiba inayopendekezwa inafaa, kwanini CCM hawasambazi nakala za kutosha, ili wananchi wajisomee wenyewe? Rais anatukumbusha kila wakati kwamba “akili za kuambiwa changanya na zakwako” sasa wananchi watachanganya vipi na za kwao wakati hawajapewa hiyo katiba “pendekezwa” ili wajisomee??

 

 

Chanzo: Gazeti la Mwananchi