Wajumbe Sekta ya Fedha Afrika Wajadili Mipango ya Maendeleo

Waziri wa Fedha wa Rwanda Mhe. Claver Gatete akitoa ufafanua wa masuala mbalimbali yanayohusu nchi za Afrika. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile ambaye amemwakilisha Waziri wa fedha na kulia kwake ni Waziri wa Fedha wa Ethiophia Mhe. Fisseha Aberra.

Kamishna wa Fedha za Nje Bwana Ngosha Manyoga akiwa katika majadiliano yanayohusu ya ripoti ya utekelezaji wa mpango wa mafanikio katika nchi za Africa.

Wajumbe waliohudhuria Mkutano wa Kanda ya Afrika  wakimsikiliza na kufuatilia kwa makini Dkt. Mulu Ketsela ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika alipokuwa akiwasilisha ripoti ya Benki hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha   na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akiwaeleza Mawaziri wa Fedha kuhusu serikali ya Tanzania ilivyonufaika na fedha za Benki ya Maendeleo katika kutekeleza mipango yake hasa  kwenye miundombinu. Kutoka kulia ni Waziri wa Fedha wa Rwanda Bw. Claver Gatete  na kushoto kwake ni  Mchumi Mkuu Rugwabiza Minega Leonard.