Tunaupenda mpira lakini mpira hautupendi…! Baadhi ya wakazi wa Gongo la Mboto wakiangalia mpambano wa mpira wa miguu timu za mitaani Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Tunaupenda mpira lakini mpira hautupendi…! Baadhi ya wakazi wa Gongo la Mboto wakiangalia mpambano wa mpira wa miguu timu za mitaani Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Lori likiwa limeingia mtaroni pembezoni mwa barabara Tabata Bima jijini Dar es Salaam.
Lori likiwa limeingia mtaroni pembezoni mwa barabara Tabata Bima jijini Dar es Salaam.
Wanyama aina ya pundamilia na nyumbu wakionekana katika ifadhi ya taifa ya Mikumi iliyopo Mkoani Morogoro.
Ukikutana na hawa jamaa pichani wakiwa kazini nyimbo wanazoimba wakifanya kazi utaziba masikio…! Hapa wakiwa kazini nje kidogo ya Mji wa Morogoro.
Mvua zinavyoharibu miundombili ya madaraja baadhi ya barabara jijini Dar es Salaam. Eneo hili magari yakiingia mtoni kupita baada ya daraja kubomolewa na mvua.