Matukio Warsha Kukamilisha Mpango Kuhuhisha Mabadiliko ya Tabianchi

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akifungua Warsha ya kukamilisha Mpango kazi wa kuhuhisha masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi katika maeneo ya Pwani ya Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku mbili inafanyika katika Hotel ya Stella Maris, Bagamoyo na inahusisha wadau kutoka Vyuo Vikuu, wadau wa maendeleo na Manispaa za  Dar es Salaam.

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akifungua Warsha ya kukamilisha Mpango kazi wa kuhuhisha masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi katika maeneo ya Pwani ya Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku mbili inafanyika katika Hotel ya Stella Maris, Bagamoyo na inahusisha wadau kutoka Vyuo Vikuu, wadau wa maendeleo na Manispaa za
Dar es Salaam.

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Angelina Madete akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu waliohudhuria Warsha katika Hotel ya Stella Maris, Bagamoyo.

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Angelina Madete akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu waliohudhuria Warsha katika Hotel ya Stella Maris, Bagamoyo.

Washiriki wakiwa katika vikundi wakipitia na kurekebisha Mpango kazi