Coastal Union Wanavyojifua Kuikabili Polisi Morogoro

Coastal Union Wanavyojifua Kuikabili Polisi Morogoro
Coastal Union Wanavyojifua Kuikabili Polisi Morogoro

Kocha Mkuu wa Coastal Union,Jamhuri Kihwelu "Julio" akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo mara baada ya kumalizika mazoezi yao juzi kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya Ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro itakayochezwa Jumatano wiki ijayo kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro, Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Habari cha Coastal Union.

Kocha Mkuu wa Coastal Union,Jamhuri Kihwelu “Julio” akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo mara baada ya kumalizika mazoezi yao juzi kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya Ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro itakayochezwa Jumatano wiki ijayo kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro, Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Habari cha Coastal Union.