Hawa Ndiyo ‘Wapuuzi’ Wakazi wa Dar Kipindi cha Mvua…!

Baadhi ya mitaa ikiwa imetapakaa taka mbalimbali zikiwemo za vinyesi vya watoto zikitiririka mitaani baada ya baadhi ya watu wasiokuwa na utu na wenye mioyo ya wanyama kutupa taka hizo.

MSIMU wa mvua jijini Dar es Salaam wapo baadhi ya watu huvua utu wao na kuvaa mioyo ya wanyama. Hawa hawa huamua kutothamini binadamu wenzao na kuamua kujitamini wao wenyewe. Aina hii ya watu wapo karibu maeneo yote si katikati ya jiji la Dar es Salaam na hata vitongoji anuai.

Bila huruma huamua kutiririsha maji maji taka yenye vinyesi kutoka vyooni na hata kutupa taka zote hatari vikiwemo vinyesi kwenye maji yanayotiririka kutokana na mvua zinazonyesha, bila kujali maji yanayotiririka yanaelekea wapi. Hutupa hata katika maji yanayotiririka mitaani kwenye makazi ya watu na kutuama baada ya mvua.

Vinyesi na taka hizo nyingine huzunguka makazi ya watu na hata kuingia ndani katika baadhi ya nyumba za waazi wenzao. Hii ni hatari kwa wakazi wote bila kujali mtupa taka maana mitaa hutapakaa uchafu wenye harufu kali vikiwemo vinyesi. Hii ndio aina ya watu wakazi wa jiji wanaoamua kuvua utu wakati wa mvua na kuvaa mioyo yawanyama.