Statoil Yagundua Gesi Asilia Bahari Kuu Tanzania

Waziri wa Nishati na Madini (wa pili Kulia), George Simbachawene akizungumza na waandishi wa Habari Mjini Dodoma kuhusu Ugunduzi wa nane wa gesi asilia uliyofanywa na Kampuni ya Statoil katika eneo la Bahari Kuu, (wa kwanza kulia) ni Naibu Waziri Nishati na Madini Dk. Charles Mwijage na (wa kwanza kushoto) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu Nishati na Madini, Richard Ndassa (Mb) wa Sumve CCM.