Fainali za Mashindano ya NSSF Media Cup 2015

Mgeni Rasmi Katika mashindano ya NSSF media Cup 2015 Prof Herman Mwansoko akipata maelezo kutoka kwa Meneja kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi. Eunice Chiume alipotembelea Banda la NSSF lililopo katika viwanja vya TCC Changombe. Mgeni Rasmi aliweza kupata maelezo mbalimbali kuhusu huduma zitolewazo na NSSF ukiwemo mpango mpya kwa ajili ya Wavuvi (Wavuvi Scheme).

Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi kombe la ushindi kwa Nahodha wa Timu ya Habari Zanzibar baada ya kuibuka mabingwa wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.

Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi zawadi kwa Mshindi wa pili kwa Nahodha wa Timu ya IPP Media baada ya kuwa washindi wa pili kwa mpira wa miguu wa Mashindano ya NSSF Media Cup 2015. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.

Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman akikabidhi kombe la ushindi kwa Nahodha wa Timu ya NSSF ya Mpira wa Pete Bi Nora Mwidunda baada ya kuwa washindi wa pili wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.

Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi kombe la ushindi kwa Nahodha wa Timu ya Uhuru Queens ya Mpira wa Pete baada ya kuibuka mabingwa wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.

Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi kombe la ushindi kwa Nahodha wa Timu ya Uhuru Queens ya Mpira wa Pete baada ya
kuibuka mabingwa wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.