Makambako Kuboresha Daftari la Kura

Nembo ya Tume ya Uchaguzi Tanzania

Nembo ya Tume ya Uchaguzi Tanzania

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA
KURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA BIOMETRIC VOTER REGISTRATION (BVR) KATIKA KATA TISA (9) ZA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO KUANZIA TAREHE 23/2/2015 HADI 3/3/2015.