TTCL Ziarani Mikoa ya Kusini na Nyanda za juu kusini.

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kazaura akikagua mitambo ya TTCL  mkoani Lindi

Afisa Mtendaji Mkuu Dr Kamugisha Kazaura atembelea mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Mbeya ikiwa na lengo la kukagua miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na kuzungumza na wafanyakazi wa TTCL wa mikoa hiyo.

Dr Kazaura ailijionea juhudi mbalimbali zinazofanywa na wafanyakazi wa TTCL katika kuhakikisha miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano inakuwa salama muda.

1.Wafanyakazi wa TTCL wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kazaura wakiangalia eneo ambalo Mkongo wa Taifa ulikatika  mkoani Njombe kutokana na mmomonyoko wa ardhi , lakini juhudi zilifanyika usiku na mchana kuhakikisha  mawasiliano yanarejea katika hali yake ya kawaida.

1. Wafanyakazi wa TTCL wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kazaura wakiangalia eneo ambalo Mkongo wa Taifa ulikatika mkoani Njombe kutokana na mmomonyoko wa ardhi , lakini juhudi zilifanyika usiku na mchana kuhakikisha mawasiliano yanarejea katika hali yake ya kawaida.

Wafanyakazi wa TTCL Mbeya  wakiwa katika mkutano ambao uliitishwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL  Dr Kazaura ikiwa ni sehemu ya kuzungumza na wafanyakazi wake.

Wafanyakazi wa TTCL Mbeya wakiwa katika mkutano ambao uliitishwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dr Kazaura ikiwa ni sehemu ya kuzungumza na wafanyakazi wake.

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kazaura akizungumza na mafundi ambao wanajenga Barabara katika mkoa wa Ruvuma, akiwasisitiza walinde Mkongo wa Taifa.

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kazaura akizungumza na mafundi ambao wanajenga Barabara katika mkoa wa Ruvuma, akiwasisitiza walinde Mkongo wa Taifa.

Hivi sasa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imekuwa kampuni pekee ya mawasiliano ambayo imefanikiwa kuunganisha wateja mbalimbali kupitia mtandao wake. Wateja hao ni pamoja na TAMISEMI, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Mabenki, Wizara ya Afya, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG),Wizara ya Fedha, watoa huduma za mtandao/intaneti (ISPs) pamoja Makampuni ya Simu

Pia TTCL imefanikiwa kuunganisha nchi jirani katika ukanda huu wa afrika Mashariki (Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda) pamoja na nchi za kusini wa Jangwa la Sahara (SADC) ambazo ni Malawi na Zambia.

1.Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kazaura akikagua Mtambo wa Mkongo wa Taifa, pembeni yake ni Mkuu wa Idara ya Ufundi wa TTCL,Senzige Kisenge

1. Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kazaura akikagua Mtambo wa Mkongo wa Taifa, pembeni yake ni Mkuu wa Idara ya Ufundi wa TTCL,Senzige Kisenge