Benki ya Posta Yasaidiwa EURO 2,000 na Benki ya Kijerumani

Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler, (wapili kushoto0, akimkabidhi mfano wa hundi ya euro 2,000, mkurugenzi mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatanoi Feb 12, 2015. Benki hiyo YA kIJERUMANI NA tpb, pia wamesaini makubaliano ya ushirikiano baina yao.

Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, (Kulia), na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler wakitia saini makubaliano ya ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili za kifedha malao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatano Feb. 11, 2015. Ujerumani itakuwa ikitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa TPB ili kuwajengea uwezo katika fani mablimbali hsusan huduma kwa wateja. Pia taasisi hiyo imeipatia TPB eURO 2,000 kwa madhumuni hayo hayo.

Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, (Kulia), na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler wakitia saini makubaliano ya ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili za kifedha malao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatano Feb. 11, 2015. Ujerumani itakuwa ikitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa TPB ili kuwajengea uwezo katika fani mablimbali hususan kitengo cha huduma kwa wateja. Pia taasisi hiyo imeipatia TPB EURO 2,000 kwa madhumuni hayo hayo.

Mwanasheria wa TPB, Mystica Mapunda Ngongi, (Kulia) na mwakilishi na msauri wa taasisi ya Kijerumani ya SBFIC, Clause Thiele, wakisaini ili kuthibitisha makubaliano hayo.

Mwanasheria wa TPB, Mystica Mapunda Ngongi, (Kulia) na mwakilishi na msauri wa taasisi ya Kijerumani ya SBFIC, Clause Thiele, wakisaini ili kuthibitisha makubaliano hayo.