Matukio Mkutano wa 10 Maendeleo ya Takwimu Afrika Uganda

Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mambo yanayoendelea katika Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika Prof. Innocent Ngalinda, katikati ni Meneja wa Takwimu za Kilimo Titus Mwisomba kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu na kulia ni Mwenyekiti wa  Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu Prof. Milline Mbonile.  (Picha zote na Veronica Kazimoto-Kampala)

Waziri Mkuu wa Uganda Ruhakana Rugunda akimpongeza Mwandishi wa Kitabu cha Mapinduzi ya Takwimu Afrika Prof. Ben Kiregyera baada ya kukizindua kwenye Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda. (Picha zote na Veronica Kazimoto-Kampala)

Washiriki wengine kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mambo yanayoendelea katika Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda. Kushoto ni Meneja wa Sensa ya Watu na Makazi Irenius Ruyobya akifuatiwa na Dk. Camilius Kasalla kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika.  (Picha zote na Veronica Kazimoto-Kampala)