Mtuhumiwa Dawa za Kulevya Auwawa Akitoroka Mahakamani

Mtuhumiwa huyo akiwa ananing'inia kwenye uzio wa mahakama baada ya kupigwa risasi akijaribu kutoroka.

Mtuhumiwa huyo akiwa ananing’inia kwenye uzio wa mahakama baada ya kupigwa risasi akijaribu kutoroka.

Mtuhumiwa huyo baada ya kupigwa risasi akijaribu kutoroka.

HABARI ambazo zimetufikia hivi punde zinasema mtuhumiwa mmoja dawa za kulevya raia wa Nigeria amepigwa risasi na kufa papo hapo baada ya kujaribu kutoroka chini ya ulinzi wa askari.

Tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu ya jijini Dar es Salaam ambapo mshtakiwa huyo pamoja na wenzake walikuwa wamefikishwa kwa ajili ya kusikilizwa kesi zao.

Chanzo chetu cha habari kinasema mtuhumiwa huyo aliwatoroka ghafla asikari akiwa chini ya ulinzi na kutimua mbio akitaka kuruka uzio wa mahakama ili atokomee kusiko julikana.

Taarifa zinasema askari wa Polisi na Magereza walijaribu kutoa tahadhari bila ya mafanikio hivyo kuamua kufyatulia risasi akiruka uzio kitendo ambacho kilimfanya apoteze maisha baada ya risasi kumpata sawia mtuhumiwa huyo na kujikuta akining’inia kwenye usio baada ya kupigwa risasi. Askari wa Jeshi la Magereza ndio wanaodaiwa kufyatua risasi hiyo.