Canal Clemence Xaviery Mwihava Azikwa Dar

Mwili wa marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava ukiwa Kanisa Katoliki Boko kwa ibada ya maombi kabla ya mazishi leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava wakiwa kanisani.

Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava kuelekea makaburini kwa mazishi.

Padre Mwihava wa Kanisa Katoliki Iringa akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava.

Mwili wa marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava ukishushwa kaburini.

Baadhi ya wanafamilia wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava.

Baadhi ya wanafamilia wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava.

Baadhi ya wanafamilia wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava.

Baadhi ya wanafamilia wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava.

Padre Mwihava wa Kanisa Katoliki Iringa akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava.

Padre Mwihava wa Kanisa Katoliki Iringa akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava.

Baadhi ya wanafamilia wakiweka mashada ya mauwa katika kaburi la marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava.

Baadhi ya wanafamilia wa marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava wakiwa eneo la makaburini.

Msemaji wa wanafamilia wa marehemu Canal Clemence Xaviery Mwihava wakitoa neno la shukrani mara baada ya mazishi makaburini.

Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa katika gwaride maalumu la heshima za mwisho kabla ya mazishi yaliofanyika leo Boko jijini Dar es Salaam.