TCAA na Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usafiri wa Anga Ulimwenguni

Ofisa mwongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Bi. Mossy Kitangita (kulia) akimweleza Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dk. Shaaban Mwinjaka namna kitengo cha uongozaji wa ndege katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kinavyofanya kazi na changamoto wanazokabiliana nazo.

Mkuu wa masuala ya Ulinzi na Usalama katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Bw. Ole Laputi (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda la maonesho la idara hiyo kuhusu baadhi ya vimiminika visivyoruhusiwa kwa abiria wanaotumia usafiri wa anga.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bw. Charles Chacha akiongea na waandishi wa habari kuhusu hali ya usalama wa anga Tanzania na namna Tanzania ilivyofanikiwa kupunguza idadi ya ajali za ndege.