Hapibethidai Mdau Daniel Chongolo

Daniel Chongolo

Daniel Chongolo

 Mdau wa mitandao ya jamii, Daniel Chongolo
leo anasherehekea siku yake adhimu ya kuzaliwa, Anasema Sifa na
Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndiye ajuae sababu ya kumuacha
hadi hii leo na hakuna alicho mpa. Pia anashukuru Wazazi hasa mama
yake, familia yake ikiongozwa na mkewe pamoja na watoto wao. 

Mtandao huu unamtakia afya njema na kila kheri katika siku yake hii muhimu ya kuzaliwa.