Nyerere “I Told You so Moment”

julius-nyerere

Naomba tujikumbushe ahadi za mwana TANU. Just think of their relevance to today’s circumstances. Ignore whether it is Tanganyika,

  1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
  2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.
  3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini , ujinga, magonjwa na dhuluma.
  4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa.
  5. Cheo ni dhamana . Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
  6. Nitajielimisha kwa Kadri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote
  7. Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yangu.
  8. NItasema kweli daima , fitina Kwangu ni mwiko.
  9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa TANU na raia mwema wa Tanganyika na Africa.
  10. Nitakuwa mtiifu na mwaminifu kwa Rais wa serikali ya Tanganyika.

Ukisoma mwili unasisimka. Nyerere huko aliko lazima anasema ” I TOLD YOU SO”

Dave