Uandikishaji Wapiga Kura Serikali za Mitaa

Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni, Asha Bakari (kushoto) akijiandikisha kwa mwandikishaji wa kituo cha cha kujiandikisha cha kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Beatrice Likundo kilichopo kwenye Shule ya Msingi Mivinjeni jijini Dar es Salaam.

Mkazi wa Mtaa wa Shimo la Udongo, Abdallah Rashid Abdallah (kushoto) akitia saini mara baada ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa jijini Dar es Salaam katika kituo cha polisi cha Shimo la Udongo. Kulia ni mwandikishaji wa kituo hicho, Nongaki Hassan.

Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni, Gilbert Katoto (kulia) akitia saini mara baada ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali Mitaa katika kituo cha kujiandisha k cha Katakiu kwa Bea kilichopo kwenye Mtaa wa Mivinjeni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwandikishaji wa kituo hicho, Isabela Mwera. PICHA NA MAGRETH KINABO - MAELEZO.

Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni, Gilbert Katoto (kulia) akitia saini mara baada ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali Mitaa katika kituo cha kujiandisha k cha Katakiu kwa Bea kilichopo kwenye Mtaa wa Mivinjeni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwandikishaji wa kituo hicho, Isabela Mwera. PICHA NA MAGRETH KINABO – MAELEZO.

Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni, Evod Millinga (kushoto) akijiandikisha akionesha kitambulisho chake kwa mwandikishaji wa kituo cha cha kujiandikisha cha kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Beatrice Likundo (kulia) kilichopo kwenye Shule ya Msingi Mivinjeni jijini Dar es Salaam.