TTCL Yakisaidia Kituo cha Afya Buguruni Dar

Dr. Mwajuma Mbaga, Mganga Mfawidhi katika Kituo cha Afya Buguruni akipokea mabechi hayo kutoka kwa Kaimu meneja Uhusiano wa TTCL Bw. Edwin Mashasi.

Kaimu Meneja Uhusiano wa TTCL, Bw. Edwin Mashasi akitoa maelezo mafupi kwa wafanyakazi wa Kituo cha Afya Buguruni na baadhi ya wanahabari baada ya kukabidhi msaada huo.

Dk. Mwajuma Mbaga akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wauguzi wa kituo hicho; kulia ni Ofisa Uhusiano wa TTCL, Bi. Amanda Luhanga.

Wafanyakazi wa kituo cha afya Buguruni katika picha ya pamoja.

Sehemu ya mabenchi yaliyotolewa na kampuni ya simu Tanzania (TTCL) Msaada huo umegharimu shilingi milioni moja na laki saba.