NMB Yadhamini Wiki ya Uwekezaji Ziwa Tanganyika Sumbawanga

Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu- Bi Lucresia Makiriye akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa - Eng. Stella Manyanya katika maonyesho ya wajasiliamali (SIDO) yanayoendelea katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. Pembeni kushoto ni Afisa Program wa NMB kanda ya Nyanda za Juu -Gilbert Lyambiro

Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu- Bi Lucresia Makiriye akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa – Eng. Stella Manyanya katika maonyesho ya wajasiliamali (SIDO) yanayoendelea katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. Pembeni kushoto ni Afisa Program wa NMB kanda ya Nyanda za Juu -Gilbert Lyambiro

 Ofisa Mikopo wa NMB tawi la Sumbawanga – Lugano Mwamlenga akimshuhudia mbunge wa zamani wa Sumbawanga – Paul Kimiti akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata maelezo ya kutosha juu ya bidhaa zinazotolewa na NMB katika maonyesho ya Sido yanayoendelea mjini Sumbawanga.

Matukio picha katika maonyesho ya wajasiliamali-Sido katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. NMB ni washiriki na wadhamini wa maonyesho ya SIDO yanayoendelea mjini hapa.

 Meneja wa NMB tawi la Mpanda – Erick Luanda akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa – Eng Stella Manyanya juu ya ushiriki wa NMB katika maonyesho ya Sidon a wiki ya uwekezaji ukanda ya Ziwa Tanganyika muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi maonyesho ya Sido katika uwanja Nelson Mandera mjini Sumbawanga.

 Meneja wa NMB tawi la Mpanda – Erick Luanda akitsalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa – Eng Stella Manyanya juu ya ushiriki wa NMB katika maonyesho ya Sidon a wiki ya uwekezaji ukanda ya Ziwa Tanganyika muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi maonyesho ya Sido katika uwanja Nelson Mandera mjini Sumbawanga.

Ofisa Mikopo wa NMB tawi la Mpanda – Berdon Mwakatobe  akimueleza Askofu Mkuu wa Dayosis ya Ziwa Tanganyika-Ambele Mwaipopo alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya wajasiliamali-Sido katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. NMB ni washiriki na wadhamini wa maonyesho ya SIDO  yanayoendelea mjini hapa.

Maafisa wa Benki ya NMB katika maonyesho ya Sido ndani ya uwanja wa Nelson Mandera Sumbawanga

Maafisa wa Benki ya NMB katika maonyesho ya Sido ndani ya uwanja wa Nelson Mandera Sumbawanga

Maafisa wa Benki ya NMB katika maonyesho ya Sido ndani ya uwanja wa Nelson Mandera Sumbawanga

Maafisa wa Benki ya NMB katika maonyesho ya Sido ndani ya uwanja wa Nelson Mandera Sumbawanga

Matukio picha katika maonyesho ya wajasiliamali-Sido katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. NMB ni washiriki na wadhamini wa maonyesho ya SIDO yanayoendelea mjini hapa.

Matukio picha katika maonyesho ya wajasiliamali-Sido katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. NMB ni washiriki na wadhamini wa maonyesho ya SIDO yanayoendelea mjini hapa.

NMB Yadhamini Wiki ya Uwekezaji Ziwa Tanganyika Sumbawanga
 
NMB imedhamini wiki ya uwekezaji ukanda wa ziwa Tanganyika-Mikoa ya Rukwa, Kigoma na Katavi lenye lengo la kuvutia uwekezaji katika kanda hii. Katika wiki ya uwekezaji inayofikia tamati tarehe 2 Novemba 2014, NMB imedhamini shughuli zote kwa kuanzia maonyesho ya wajasiliamali (SIDO), uzinduzi wa wilaya ya Kalambo ambayo inategemewa kuzinduliwa na Rais Jakaya Kikwete, na kongamano lenyewe ambalo linaratibiwa na mkuu wa mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya chini ya mgeni rasmi ambaye ni Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Rais pia anatarajiwa kufungua jengo la kisasa la NMB Sumbawanga Novemba Mosi, 2014. Katika wiki hii, pia NMB pia imetoa madawati yenye thamani ya Shilingi Milion 5 kwa Shule ya sekondari Msakila ya mjini Sumbawanga na Vifaa vya hospitali vya Shilingi Milioni 5 kwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa Mjini Sumbawanga.