Breaking News – Sitti Abbas Mtemvu Ajivua Taji La Miss Tanzania

Baada ya watu kuja na ushahidi kuwa miss Tanzania 2014 Sitti Abbas Mtemvu amedanganya kuhusu umri wake, ameamua kujivua taji lake. Amepost mwenyewe habari hizi kwenye page yake ya facebook na kuandika hivi

HABARI ZA JIONI WATANZANIA WENZANGU, KUTOKANA NA KUWA NIMEKUWA NIKISEMWA SANA, MANENO MENGI YASIO NA TIJA JUU YA HILI TAJI LA UMISS TANZANIA 2014,,,MPAKA KUPELEKEA NISIWE NA AMANI NA UHURU NDANI YA NCHI YANGU TANZANIA, KWA ROHO SAFI NIMEAMUA MWENYEWE KUJIVUA TAJI HILO NA KUACHA WANAYE ONA ANASTAHILI TAJI HILI APEWE ILI NIENDELEE NA MAISHA YANGU KWA AMANI ,ISIWE SHIDA SANA KWANI SITEGEMEI TAJI HILI ILI KUISHI!!

https://www.facebook.com/SittiAbbasMTemvu

sitti-abbas-mtemvu-miss-tanzania

sitti-mtemvu